Sio shida kubadilisha funguo za nyimbo. Shida ni kujua ufunguo gani ni bora kwa sauti yangu?
Neo-Transposer inakupa kordi kamili za kila wimbo wa Neo kulingana na sauti yako binafsi, pamoja na kordi zilizo rahisi zaidi. Usisumbuliwe tena na mambo ya kordi na sauti!
Inakuwaje?
1 Kwanza, itabidi upime mipaka ya sauti yako kwa kuimba kiitikio kimoja kwa sauti tofauti tofauti. Kutachosha kidogo lakini usijali, ni mara moja tu.
2 Baada ya kumpima sauti yako, chagua wimbo wo wote na Neo-Transposer itakupa kordi na kapo zinazoifaa sauti yako.
This website is a personal initiative of a member of the Neocatechumenal Way, but it does not officially represent neither the Neocatechumenal Way nor its responsibles.