Sio shida kubadilisha funguo za nyimbo. Shida ni kujua ufunguo gani ni bora kwa sauti yangu?

Neo-Transposer inahesabu transposition kamili kwa kila wimbo wa Njia kulingana na sauti yako binafsi. Rahisi sana! Pia inakutolea kordi rahisi zaidi. Usi­sumbu­liwe tena na mambo ya kordi na sauti!

Inakuwaje?

1 Kwanza, itabidi upime mipaka ya sauti yako kwa kuimba kiitikio kimoja kwa sauti tofauti tofauti. Kutachosha kidogo lakini usijali, ni mara moja tu.

2 Baada ya kumpima sauti yako, chagua wimbo wo wote na Neo-Transposer itakupa kordi na kapo zinazoifaa sauti yako.

This website is a personal initiative of a member of the Neocatechumenal Way, but it does not represent officially the Neocatechumenal Way neither its responsibles.